Kiungo Steven Zuber akishangilia kwenye kibendera cha kona baada ya kuifungia bao la kusawazisha Uswisi dakika ya 50 katika sare ya 1-1 na Brazil leo kwenye mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia Uwanja wa Rostov Arena nchini Urusi, kufuatia Philippe Coutinho kuanza kuwafungia wenyeji wa fainali zilizopita mwaka 2014 dakika ya 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eubank discharged from hospital
-
Chris Eubank Jr is discharged from hospital after he was admitted as a
precaution following his victory over Conor Benn on Saturday.
40 minutes ago
0 comments:
Post a Comment