Adnan Januzaj akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao pekee dakika ya 51 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya England kwenye mchezo wa Kundi G Kombe la Dunia. Kwa matokeo hayo, Ubelgiji inamaliza katika nafasi ya kwanza kwenye Kundi G kwa pointi zake tisa, ikifuatiwa na England yenye pointi sita na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora huku Tunisia na Panama zikiishia hapa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tigers rescue late draw versus Quins at Twickenham
-
Handre Pollard's last minute conversion via the post rescues a fascinating
draw for Leicester against Harlequins at Twickenham.
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment