Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Urusi leo kwenye mchezo wa Kundi A Kombe la Dunia Uwanja wa Samara Arena. Mabao mengine ya Uruguay yamefungwa na Denis Cheryshev dakika ya 23 na Edinson Cavani dakika ya 90 na kwa matokeo hayo inamaliza kileleni kwa Kundi A ikifuatiwa na Urusi na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Black Satellites begin final preparations in Cairo ahead of U20 AFCON
-
Black Satellites held their first training sessions in Cairo on Sunday,
April 20, 2025, as preparations intensify for the upcoming U20 Africa Cup
of Nation...
45 minutes ago
0 comments:
Post a Comment