// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SINGIDA UNITED ILIVYOPIGIKA MBELE YA GOR MAHIA JANA AFRAHA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SINGIDA UNITED ILIVYOPIGIKA MBELE YA GOR MAHIA JANA AFRAHA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, June 08, 2018

    SINGIDA UNITED ILIVYOPIGIKA MBELE YA GOR MAHIA JANA AFRAHA

    Beki wa Singida United, Miraj Adam (kulia) akipambana na mchezaji wa Gor Mahia katika mchezo wa Nusu Fainali wa SportPesa Super Cup jana Uwanja wa Afraha mjini Nakuru, Kenya. Gor Mahia ilishinda 2-0   


    Wachezaji wa Singida United wakiwafuatilia wachezaji wa Gor Mahia 

    Deus Kaseke wa Singida United (kushoto) akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Gor Mahia 
    Wachezaji wa Singida United wakimtazama mchezaji wa Gor Mahia akiondoka na mpira

    Kikosi cha Gor Mahia kilichoinyuka Singida United 2-0 jana

    Kikosi cha Singida United kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Afraha mjini Nakuru
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA UNITED ILIVYOPIGIKA MBELE YA GOR MAHIA JANA AFRAHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top