Kikosi cha England katika suti zao nadhifu maalum kwa safari ya Urusi kwenye Kombe la Dunia. Nyuma kabisa kutoka kushoto ni Danny Welbeck, Phil Jones, Jordan Pickford, Dele Alli, Marcus Rashford, Kyle Walker, Fabian Delph na Jamie Vardy. Katikati kutoka kushoto niMartyn Margetson (Kocha wa Makipa), Harry Maguire, Ruben Loftus-Cheek, Jack Butland, Eric Dier, John Stones, Gary Cahill, Nick Pope na Allan Russell (Kocha wa Washambuliaji). Na mbele kabisa kutoka kushoto ni Danny Rose, Jesse Lingard, Raheem Sterling, Harry Kane (Nahodha), Gareth Southgate (manager), Steve Holland (assistant manager), Jordan Henderson, Ashley Young, Kieran Trippier na Trent Alexander-Arnold PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lamar Jackson: 'I Was Terrible' with Gloves in Practice; Won't Wear in
Ravens-Bills
-
According to the Weather Channel, the low temperature in Buffalo, New York,
on Sunday will be seven degrees fahrenheit. But don't expect Lamar Jackson
to w...
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment