// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SAMATTA AZUNGUMZIA MECHI YA HISANI DHIDI YA TEAM KIBA KESHO TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SAMATTA AZUNGUMZIA MECHI YA HISANI DHIDI YA TEAM KIBA KESHO TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, June 08, 2018

    SAMATTA AZUNGUMZIA MECHI YA HISANI DHIDI YA TEAM KIBA KESHO TAIFA

    Mshambuliaji wa klabu ya Genk ya Ubeligiji,Mbwana Samatta akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mechi ya hisani kati ya mashabiki wake na wa Ali Kiba utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
    Kocha wa timu ya Manispaa ya Dodoma, Jamhuri Kihwelo 'Julio' akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mechi ya hisani kati ya mashabiki wa Samatta na wa Ali Kiba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,katikati ni Mshambuliaji wa klabu ya Genk ya Ubeligiji,Mbwana Samatta pamoja na msanii wa vichekesho Lucas Muhavile 'Joti'.

    Mbwana Samatta na Jamhuri Kihwelo wakati wakiwasili Uwanja wa Taifa kwa ajili ya mkutano
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA AZUNGUMZIA MECHI YA HISANI DHIDI YA TEAM KIBA KESHO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top