// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AINGIA KAMBINI URENO KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AINGIA KAMBINI URENO KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 05, 2018

    RONALDO AINGIA KAMBINI URENO KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA

    Cristiano Ronaldo akifurahia kwenye mazoezi ya timu yake ya taifa, Ureno kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia katika kambi yao mjini Lisbon mara baada ya kujiunga nao jana kufuatia kupewa mapumziko zaidi baada ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya akiiwezesha klabu yake, Real Madrid kushinda 3-1 dhidia ya Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AINGIA KAMBINI URENO KUJIANDAA NA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top