Gwiji wa Real Madrid, Mreno Luis Figo akimtoka gwiji wa Arsenal, Mfaransa Robert Pires katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Katika mchezo huo wa hisani kuchangia mfuko wa Arsenal ( The Arsenal Foundation) Real Madrid ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Raul dakika ya sita na Guti dakika ya 20, wakati la Washika Bunduki wa London lilifungwa na Luis Boa Morte dakika ya 18 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FA Cup semi-final draw: Man City handed tricky Wembley test if they beat
Bournemouth as Premier League sides learn opponents
-
The draw for the semi-finals was conducted after Aston Villa beat Preston
North End.
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment