Mashabiki wakiwa wamebanana katika eneo dogo la Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (ASFC) Jumamosi kati ya Mtibwa Sugar na Singida United
Watu walijitokeza kwa wingi na kuondoa dhana kwamba viwanja vya Tanzania vinaweza kusheheni pale tu zinapocheza klabu kongwe, Simba na Yanga
Wengine waliokosa nafasi ya kuingia uwanjani walikwenda kukaa kwenye ghorofa hili lilio jirani na Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Wengine walipanda juu ya miti kuishuhudia burudani hiyo
Mtibwa Sugar ikaibuka na ushindi wa 3-2 na kubeba Kombe
Majukwaa yalipendeza na wachezaji wakatoa burudaniu nzuri uwanjani
Wengine waliketi juu ya ukuta wa uzio wa Uwanja
Mashabiki walikuwa wengi kiasi kwamba ilikuwa vigumu hata kugeuka
Jamaa hawa ilibidi wakae tu kwenye ukuta wa uzio wa Uwanja
Osmajic's double guides Preston past Charlton
-
Watch the highlights as Milutin Osmajic's double helps Preston beat
Charlton 2-1 in the FA Cup third round.
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment