Mohamed Salah akiifungia Misri bao la kwanza dakika ya 22 wakifungwa mabao 2-1 na Saudi Arabia katika mchezo wa Kundi A Kombe la Dunia Uwanja wa Volgograd Arena nchini Urusi na kutolewa kwenye michuano hiyo waliyokuwa wakishiriki kwa mara ya kwanza tangu 1990. Hiyo ni baada ya kufungwa 1-0 na Uruguay Juni 15 na 3-1 na Urusi Juni 19 katika mechi zake mbili za kwanza. Mabao ya Saudi Arabia iliyopata ushindi wa kwanza Kombe la Dunia tangu mwaka 1994 yamefungwa na Salman Al Faraj kwa penalti dakika ya 45 na ushei na Salem Al Dawsari dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tigers rescue late draw versus Quins at Twickenham
-
Handre Pollard's last minute conversion via the post rescues a fascinating
draw for Leicester against Harlequins at Twickenham.
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment