Kipa Manuel Neuer akiokoa wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Austria akiidakia Ujerumani kwa mara ya kwanza tangu Septemba mwaka jana alipoumia mguu, Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Worthersee mjini Klagenfurt am Worthersee, Austria ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Martin Hinteregger dakika ya 53 na Alessandro Schopf dakika ya 69, baada ya Mesut Ozil kutangulia kuifungia Ujerumani dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Briton Kartal loses in Australian Open first round
-
Britain's Sonay Kartal misses the chance to play top seed Aryna Sabalenka
after losing on her Australian Open main-draw debut.
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment