• HABARI MPYA

        Sunday, June 17, 2018

        KAPTENI KOLAROV AING'ARISHA SERBIA, YAIPIGA 1-0 COSTA RICA

        Nahodha Aleksandar Kolarov akishangilia kibabe baada ya kuifungia bao pekee Serbia dakika ya 56 katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia dhidi ya Costa Rica leo Uwanja wa Samara Arena 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KAPTENI KOLAROV AING'ARISHA SERBIA, YAIPIGA 1-0 COSTA RICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry