• HABARI MPYA

        Monday, June 25, 2018

        HONDA ATOKEA BENCHI NA KUIPOKONYA USHINDI SENEGAL

        Keisuke Honda akishangilia baada ya kuifungia Japan bao la kusawazisha dakika ya 78 katika sare ya 2-2 na Senegal kwenye mchezo wa Kundi H Kombe la Dunia Jumapili Uwanja wa Ekaterinburg Arena nchini Urusi. Mabao ya Senegal yalifungwa na na Sadio Mane dakika ya 11 na Moussa Wague dakika ya 71, wakati bao lingine la Japan limefungwa na Takashi Inui dakika ya 34 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: HONDA ATOKEA BENCHI NA KUIPOKONYA USHINDI SENEGAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry