Mshambuliaji wa zamani wa Everton ya England, Yakubu Aiyegbeni (kulia) akiwa na Makamu wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Crescentius Magori (kushoto) wakifuatilia Nusu Fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kati ya wenyeji, Kakamega Homeboyz na Simba SC ya Dar es Salaam jana Uwanja wa Afraha mjini Nakuru, Kenya
Yakubu akiwa wenzake kutoka Everton na wenyeji wake jana Afraha
Yakubu Aiyegbeni ni mshambualiaji wa zamani wa kimataifa wa Nigeria aliyechezea pia Portsmouth, Middlesbrough, Leicester City, Blackburn Rovers, Reading na Coventry City zote za England
Meza kuu walikuwepo Mkuu wa Idara ya Masoko wa SportPesa Afrika Mashariki, Kevin Twisa (kushoto) na Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again'
Wachezaji wa Simba SC wakitoa heshima zao mbele ya jukwaa kuu alipokuwa ameketi Yakubu Aiyegbeni
MLB Rumors: Tanner Scott, Mets Had Meeting as NY Eyes Reliever Contracts,
Trades
-
The New York Mets have met with free agent relief pitcher Tanner Scott,
according to The Athletic's Will Sammon. Scott is considered one of MLB's
top unsig...
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment