Nyota wa England, Dele Alli mwenye asili ya Nigeria akimiliki mpira katika ya wachezaji wa nchi yake hiyo ya asili wakati wa mchezo wa kirafiki leo Uwanaj wa Wembley, London kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia. England imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Gary Cahill dakika ya saba na Harry Kane dakika ya 39 wakati la NIgeria limefungwa na Alex Iwobi dakika ya 47 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Derrick Henry Posts 'Cars' Photo After Lamar Jackson's Viral Video After
Ravens' Win
-
Baltimore Ravens quarterback Lamar Jackson compared running back Derrick
Henry to the main character of the Cars franchise, Lightning McQueen, after
his…
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment