Ivan Perisic akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Croatia dakika ya 90 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia Uwanja wa Rostov Arena nchini Urusi. Milan Badelj alianza kuifungia Croatia dakika ya 53 kaba ya Gylfi Sigurdsson kusawazisha dakika ya 76 kwa penalti kufuatia Dejan Lovren kucheza rafu kwenye boksi. Croatia inamaliza mechi za makundi ikishinda zote tatu baada ya kuzifunga pia Argentina na Nigeria na sasa itakutana na Denmark katika 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: The BRUTAL cut that sent Chris Eubank Jr to hospital after
claiming victory in his bloody grudge match against rival Conor Benn
-
Eubank Jr was on the receiving end of a series of devastating blows and
sustained a nasty cut above his right eye which required the 35-year-old to
be admi...
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment