Javier Hernandez akishangilia baada ya kuifungia Mexico bao la ushindi dakika ya 66 ikiilaza Korea Kusini 2-1 katika mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia leo Uwanja wa Rostov Arena nchini Urusi. Hiyo ni baada ya Carlos Vela kuanza kuifungia Mexico dakika ya 26 na kabla ya Son Heung-Min kuifungia Korea Kusini bao la kufutia machozi dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tigers rescue late draw versus Quins at Twickenham
-
Handre Pollard's last minute conversion via the post rescues a fascinating
draw for Leicester against Harlequins at Twickenham.
43 minutes ago
0 comments:
Post a Comment