Mshambuliaji Edinson Cavani akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Uruguay dakika za saba (7) na 62 ikiilaza Ureno 2-1 Ureno katika hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia leo Uwanja wa Olimpiki Fisht mjini Sochi, Urusi na sasa itakutana na Ufaransa katika Robo Fainali. Bao la Ureno lilifungwa na Pepe dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Howe is 'OK' but 'not 100%' after hospital stay
-
Newcastle manager Eddie Howe says he is "OK" but "not 100%" after a
hospital stay with pneumonia.
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment