Iago Aspas akiifungia bao la kusawazisha Hispania dakika ya 90 na ushei katika sare ya 2-2 na Morocco kwenye mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia Uwanja wa Kaliningrad, Urusi. Bao lingine la Hispania limefungwa na Isco dakika ya 19, wakati mabao ya Morocco yamefungwa na Khalid Boutaib dakika ya 14 na Youssef En-Nesyri dakika ya 81. Hispania imemaliza kileleni mwa Kundi B kwa pointi zake tano sawa na Ureno na zote zinakwenda 16 Bora PICHA ZAIDIGONGA HAPA
Tigers rescue late draw versus Quins at Twickenham
-
Handre Pollard's last minute conversion via the post rescues a fascinating
draw for Leicester against Harlequins at Twickenham.
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment