Beki wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda (kushoto) akiwa mchezaji wa zamani nyota nchini, Abdi Kassim 'Babbi' baada ya kukutana kwenye mazoezi ya timu ya mwanamuziki Ali Kiba na Rafiki zake jana Uwanja wa Jakaya Mrisho Kikwete (JMK) Park, eneo la Gerezani, katika kujiandaa na mchezo wa Hisani dhidi ya timu ya Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta na Rafiki zake unaofanyika leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Abdi Kassim, kiungo wa zamani wa Yanga na Taifa Stars (kushoto) akiwa ba kipa Shaaban Kado
Abdi Banda akijifua leo kujiandaa kwenda kumdhibiti Mbwana Samatta
Ali 'King' Kiba mwenyewe (kulia) akiwa mazoezini jana
Kiungo Ally Bin Slum akiwa hoi baada ya mazoezi kidogo tu jana
Mzee wa Mashuti Kariakoo hadi Chamazi akiwa mazoezini jana JMK Park
See the angry social media post about drug testing that Nick Kyrgios
DELETED just after he put it up
-
The outspoken Aussie has refused to 'shut up' about what he sees as
tennis's failure to take proper action against stars who fail drug tests -
and he was f...
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment