// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 06/01/2018 - 07/01/2018 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 06/01/2018 - 07/01/2018 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, June 30, 2018
    RONALDO NAYE AONDOSHWA MAPEMAA KOMBE LA DUNIA

    RONALDO NAYE AONDOSHWA MAPEMAA KOMBE LA DUNIA

    Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akiwa haamini macho yake baada ya mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia wakitolewa na  Uru...
    CAVANI AIPELEKA URUGUAY ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

    CAVANI AIPELEKA URUGUAY ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

    Mshambuliaji Edinson Cavani akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Uruguay dakika za saba (7) na 62 ikiilaza Ureno 2-1 Ureno katika h...
    KWAHERI MESSI, UFARANSA YASUBIRI MSHINDI KATI YA URUGUAY NA URENO

    KWAHERI MESSI, UFARANSA YASUBIRI MSHINDI KATI YA URUGUAY NA URENO

    Nahodha wa Argentina, Lionel Messi akiondoka kinyonge baada ya mchezo    hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia leo Uwanja wa Kazan Arena, Urusi...
    MBAPPE SHUJAA WA UFARANSA IKIITOA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA

    MBAPPE SHUJAA WA UFARANSA IKIITOA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA

    Wachezaji wa Ufaransa wakimpongeza mwenzao, Kylian Mbappe aliyefunga mabao mawili dakika ya 64 na 68 katika ushindi wa 4-3 dhidi ya Argen...
    SALAMBA AFUNGA MABAO MAWILI SIMBA SC IKIWATANDIKA 4-0 WASOMALI KOMBE LA KAGAME

    SALAMBA AFUNGA MABAO MAWILI SIMBA SC IKIWATANDIKA 4-0 WASOMALI KOMBE LA KAGAME

    Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM TIMU za Tanzania Bara zimeendelea kufanya vizuri katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ma...
    Friday, June 29, 2018
    SINGIDA UNITED YAIFUNGA APR MABAO 2-1 KATIKA KOMBE LA KAGAME USIKU TAIFA

    SINGIDA UNITED YAIFUNGA APR MABAO 2-1 KATIKA KOMBE LA KAGAME USIKU TAIFA

    Na Sada Salmin, DARES SALAAM MUDA mfupi baada ya Azam FC kushinda mechi yake ya kwanza ya Kombe la Kagame, Singida United timu nyingine ya...
    AZAM FC YAANZA VYEMA KOMBE LA KAGAME, YAICHAPA KATOR FC 2-1 MABAO YOTE KAFUNGA SHAABAN IDD CHILUNDA

    AZAM FC YAANZA VYEMA KOMBE LA KAGAME, YAICHAPA KATOR FC 2-1 MABAO YOTE KAFUNGA SHAABAN IDD CHILUNDA

    Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi wa Kombe la Kagame, Azam FC wameanza vizuri harakati za kutetea ubingwa wao baada ya jioni...
    UBELGIJI YAICHAPA ENGLAND 1-0 LAKINI ZOTE ZAFUZU 16 BORA

    UBELGIJI YAICHAPA ENGLAND 1-0 LAKINI ZOTE ZAFUZU 16 BORA

    Adnan Januzaj akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao pekee dakika ya 51 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya England kwenye mche...
    Thursday, June 28, 2018
    COLOMBIA YAITUPA NJE SENEGAL KOMBE LA DUNIA, AFRIKA...

    COLOMBIA YAITUPA NJE SENEGAL KOMBE LA DUNIA, AFRIKA...

    Beki wa Colombia, Yerry Mina akipiga magoti kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi timu yake dakika ya 74 ikiilaza 1-0 Seneg...
    NEYMAR ANG'ARA BRAZIL IKISONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

    NEYMAR ANG'ARA BRAZIL IKISONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

    Nyota wa Brazil, Neymar akimtoka kiufundi mchezaji wa Serbia katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia Jumatano Uwanja wa Otkrytiye Arena m...
    Wednesday, June 27, 2018
    MSHAMBULIAJI WA IVORY COAST, WILFRIED BONY WA SWANSEA CITY ATUA DAR KUWEKEZA KATIKA SANAA

    MSHAMBULIAJI WA IVORY COAST, WILFRIED BONY WA SWANSEA CITY ATUA DAR KUWEKEZA KATIKA SANAA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZAJI Wilfried Bony wa Klabu ya Swansea City ya England yupo nchini kwa ziara fupi ambapo amesema anat...
    KOREA KUSINI YAIVUA UJERUMANI UBINGWA WA DUNIA

    KOREA KUSINI YAIVUA UJERUMANI UBINGWA WA DUNIA

    UJERUMANI imevuliwa ubingwa wa dunia baada ya kufungwa mabao 2-0 na Korea Kusini leo katika mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia Uwanja wa Kaza...
    DAKADAHA YA SOMALIA, PORTS YA DJIBOUTI NA KATOR YA SUDAN KUSINI ZATUA DAR KWA KOMBE LA KAGAME

    DAKADAHA YA SOMALIA, PORTS YA DJIBOUTI NA KATOR YA SUDAN KUSINI ZATUA DAR KWA KOMBE LA KAGAME

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU za soka za Dakadaha ya Somalia, Ports ya Djibouti na Kator FC ya Sudani Kusini zimekuwa timu za kwan...
    SAMPAOLI ALIMUOMBA RUHUSA MESSI KUMUINGIZA AGUERO

    SAMPAOLI ALIMUOMBA RUHUSA MESSI KUMUINGIZA AGUERO

    KOCHA wa Argentina, Jorge Sampaoli jana alimuomba ruhusa Nahodha, Lionel Messi kumuingiza mshambuliaji Sergio Aguero dakika za mwishoni kat...
    BANDA APANIA KUONGEZA BIDII BAROKA FC AFANYE MAKUBWA ZAIDI AFRIKA KUSINI MSIMU UJAO

    BANDA APANIA KUONGEZA BIDII BAROKA FC AFANYE MAKUBWA ZAIDI AFRIKA KUSINI MSIMU UJAO

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa kimataifa nchini, Abdi Hassan Banda amesema kwamba wachezaji wamekubaliana kuongeza bidii msimu u...
    KOCHA MBEYA CITY KUSAJILI WAKALI WATANO KUTOKA BURUNDI KUIMARISHA KIKOSI TIMU ITISHE MSIMU UJAO

    KOCHA MBEYA CITY KUSAJILI WAKALI WATANO KUTOKA BURUNDI KUIMARISHA KIKOSI TIMU ITISHE MSIMU UJAO

    Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Ramadhani Nsanzurwimo amesema kwamba yupo katika mchakato wa kuangalia wachezaji a...
    CROATIA YAMALIZA MECHI ZA MAKUNDI KWA USHINDI ASILIMIA 100

    CROATIA YAMALIZA MECHI ZA MAKUNDI KWA USHINDI ASILIMIA 100

    Ivan Perisic akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Croatia dakika ya 90 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kun...
    Tuesday, June 26, 2018
    ROJO AIPELEKA ARGENTINA 16 BORA, KUIVAA UFARANSA

    ROJO AIPELEKA ARGENTINA 16 BORA, KUIVAA UFARANSA

    Beki Marcos Rojo akikimbia kushangilia kishujaa huku amedandiwa mgongoni na Nahodha wake, Lionel Messi baada ya kuifungia Argentina bao l...
    UFARANSA NA DENMARK ZAENDA 16 BORA KOMBE LA DUNIA

    UFARANSA NA DENMARK ZAENDA 16 BORA KOMBE LA DUNIA

    Mshambuliaji wa Ufaransa, Olivier Grioud akipambana kuwania mpira wa juu na beki wa Denmark, Simon Thorup Kjaer katika mchezo wa Kundi C ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top