Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Antony (kushoto) akiwapita mabeki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vpdacom Tanzaian Bara jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 2-2
Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akimtoka beki wa Ruvu Shooting
Wing wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akimruka beki wa Ruvu Shooting
Kiungo mshambuliaji wa Ruvu Shooting, Khamis Mcha 'Viallia' akimiliki mpira mbele ya beki wa Yanga, Gardiel Michael
Pius Buswita (kushoto) akitafuta mbinu za kumpita mchezaji wa Ruvu Shootinhg
Kiungo chipukiiz wa Yanga, Maka Edward akimdibiti mchezaji wa Ruvu
Winga wa Yanga, Emmanuel Martin akiwatoka wachezaji wa Ruvu Shooting
Beki wa Yanga, Hassa Ramadhan 'Kessy' akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Ruvu Shooting
Kikosi cha Yaga SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
Kikosi cha Yaga SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam
Ohio coach Brian Smith, 45, fired for affair with student in new scandal
amid Sherrone Moore's Michigan crisis
-
Brian Smith, 45, was dismissed by the school on Wednesday for what was
described 'serious professional misconduct,' shortly after he was placed on
administ...
26 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment