Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' (kulia) akiruka kuokoa dhidi ya mshambuliaji wa Rayon Sport ya Rwanda, Shaaban Hussein katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, timu hizo zikitoka sare ya 0-0
Beki wa Yanga, Hassan Kessy akiwa juu ya mchezaji wa Rayon Sport katika moja ya pilika za mchezo wa jana
Winga wa Yanga, Yusuph Mhilu (kulia) akimtoka beki wa Rwanda
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akimtoka mchezaji wa Rayon Sport, Francois Mugisha
Kiungo wa Yanga, Pius Buswita (kulia) akimlamba chenga Francois Mugisha wa Rayon Sport
Beki wa Yanga, Hassan Kessy akiwatoka wachezaji wa Rayon Sport
Mshambuliaji Mrundi wa Yanga, Amissi Tambwe akipambna na beki wa Rayon Sport, Thierry Manzi
Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akimpita beki wa Rayon Sport
Kikosi cha Rayon Sport kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Playing against Kotoko at Baba Yara is a motivation on its own – Vision
FC coach Nana Kweku Agyemang
-
The head coach of Vision Football Club, Nana Kweku Agyemang has revealed
what is motivating his team ahead of their top clash against Asante
Kotoko.The deb...
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment