// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WENGER AAGA ARSENAL KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WENGER AAGA ARSENAL KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, May 13, 2018

    WENGER AAGA ARSENAL KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI

    Kocha Mfaransa wa Arsenal, Arsene Wenger akikatiza katikati ya wachezaji wake na wa Huddersfield Town kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu hizo Uwanja wa The John Smith, Huddersfield mjini West Yorkshire kuaga akikamilisha miaka 22 ya kufundisha klabu hiyo ya London. Arsenal imeshinda 1-0, bao pekee la Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WENGER AAGA ARSENAL KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top