Mwenyekiti wa klabu ya Paris Saint-Germain, Nasser Al-Khelaifi (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, kocha mpya, Thomas Tuchel wakati wa kumtambulisha jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa kufuatia kusaini mkataba wa hadi mwaka 2020 kuchukua nafasi ya Unai Emery anayeondolewa baada ya msimu huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Amorim reveals team news for Cherries clash
-
The boss discusses a fresh injury but is positive about two players closing
on a return.
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment