Winga wa Tanzania, Abdulnasir Bitebo (kushoto) akimuacha chini kwa chenga nzuri mchezaji wa Mali, Ousmane Diakite jana katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Pili kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 (AFCON U20) mwakani nchini Niger. Mali ilishinda 2-1 jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Abdulnasir Bitebo akimtoka mchezaji wa Mali, Mamadou Samake
Mfungaji wa bao la Tanzania, Ngorongoro Heroes, Peter Paul (kushoto) akipiga shuti
Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Habib Kiyombo akimiliki mpira mbele ya beki wa Mali, The Eagles, Dante Amadou
Mamady Diara wa Mali akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Ngorongoro Heroes, Asad Juma
Beki wa Ngorongoro Heroes, Israel Mwenda akimtoka mchezaji wa The Eagles, Ousmane Diakite
Kocha Mkuu wa Ngorongoro Heroes, Ammy Ninje na wasaidizi wake jana kwenye benchi
Viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jana uwanjani
Kikosi cha Mali kabla ya mechi ya jana
Kikosi cha Ngorongoro Heroes jana Uwanja wa Taifa
Hat-trick hero McAtee can play better - Guardiola
-
Manchester City manager Pep Guardiola called midfielder James McAtee
'special', but insists he could still play better despite scoring a
hat-trick in an 8-...
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment