// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NEYMAR AWA MCHEZAJI BORA UFARANSA, LAKINI AMEBEBWA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NEYMAR AWA MCHEZAJI BORA UFARANSA, LAKINI AMEBEBWA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, May 14, 2018

    NEYMAR AWA MCHEZAJI BORA UFARANSA, LAKINI AMEBEBWA?

    Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar (kulia) akikabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligue 1, Ufaransa na gwiji wa Brazil, Ronaldo Lima (kushoto) baada ya kuwapiku wachezaji wenzake wa PSG, Edinson Cavani na Kylian Mbappe, huku Florian Thauvin wa Marseille akimaliza nafasi ya nne. Lakini tuzo hiyo imeleta maswali, kwa sababu Neymay amecheza mechi 20 tu na kufunga mabao 19, wakati Cavani ndiye mfungaji bora wa Ligue 1 kwa mabao yake 28, akifuatiwa na Thauvin mabao 20 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEYMAR AWA MCHEZAJI BORA UFARANSA, LAKINI AMEBEBWA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top