Basi la wachezaji wa Barcelona likipita katikati ya mashabiki mitaa ya Barcelona jana baada ya ushindi wa taji la 25 la La Liga kufuatia kuichapa mabao 4-2 Deportivo La Coruna juzi na kujibebea taji la pili Hispania msimu huu kufuatia awali kunyakua Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Donald Cerrone Re-Enters UFC Drug-Testing Pool, Eyes Summer 2025 Fight for
Comeback
-
UFC Hall of Famer Donald Cerrone is planning to make his UFC return over
the summer after retiring from the sport in 2022. "I just re-entered the
[UFC's…
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment