// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MABINGWA WA NCHI, SIMBA SC MJENGONI BUNGENI DODOMA MAPEMA JUMATATU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MABINGWA WA NCHI, SIMBA SC MJENGONI BUNGENI DODOMA MAPEMA JUMATATU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, May 15, 2018

    MABINGWA WA NCHI, SIMBA SC MJENGONI BUNGENI DODOMA MAPEMA JUMATATU

    Wachezaji wa Simba SC wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wabunge wenye mapenzi na timu hiyo Bungeni mjinu Dodoma mapema Jumatatu kufuatia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
    Mkali wa mabao wa Simba SC, Emmanuel Okwi (kushoto) akiwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo,  Juliana Daniel Shonza 
    Hapa wachezaji na makocha wa Simba wakiwa ndani ya ukumbi Bunve mjini Dodoma mapema Jumatatu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MABINGWA WA NCHI, SIMBA SC MJENGONI BUNGENI DODOMA MAPEMA JUMATATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top