Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur dakika za saba na 76 katika ushindi wa 5-4 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley leo. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Erik Lamela dakika za 49 na 60 na lingine Christian Fuchs akijifunga dakika ya 53, huku ya Leicester yakifungwa na Jamie Vardy mawili dakika za nne na 73, Riyad Mahrez dakika ya 16 na Kelechi Iheanacho dakika ya 47 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lakers vs. Spurs, Clippers vs. Hornets Games Postponed By NBA Due to LA
Wildfires
-
The NBA announced that matchups between the Los Angeles Lakers and San
Antonio Spurs as well as the Los Angeles Clippers and Charlotte Hornets on
Saturday…
50 minutes ago
0 comments:
Post a Comment