Lionel Messi na Sergio Aguero wote wameposti picha hizi wakiwa kwenye ndege kuelekea Fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi. Argentina wameshinda mataji mawili tu ya Kombe la Dunia, 1978 na 1986
Lionel Messi na Sergio Aguero wote walifunga kwenye ushindi wa 4-0 dhidi ya Haiti jana katika mchezo wa kirafiki

0 comments:
Post a Comment