Mshambuliaji Mfaransa wa Chelsea, Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia timu yake ya taifa bao la kwanza dakika ya 40 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Ireland usiku wa jana katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Kombe la Dunia Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Bao la pili la timu ya Didier Deschamps lilifungwa na Nabil Fekir anayetakiwa na Liverpool dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mayer retains title with points win over Briton Ryan
-
World champion Mikaela Mayer outpoints Briton Sandy Ryan for the second
time to defend her WBO welterweight title in Las Vegas.
57 minutes ago
0 comments:
Post a Comment