
Thursday, May 31, 2018

Na Mwandishi Wetu, ARUSHA KLABU ya Singida United leo imesajili wachezaji watatu wapya kuelekea msimu ujao, wakiwemo Muivory Coast kiungo ...
YANGA SC WALIVYOONDOKA LEO KWENDA KENYA
Thursday, May 31, 2018
Wachezaji wa Yanga wakiwa katika picha ya pamoja Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati wa safari ya kwenda Kenya k...
YONDAN ‘AWAZODOA SIMBA’ AIBUKA JANGWANI NA KUTETA NA MKWASA, NYIKA
Thursday, May 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NAHODHA wa Yanga SC, Kevin Patrick Yondan ameonyesha dalili atabaki baada ya leo kufika makao makuu, Jang...
ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID, WENGER ATAJWA KUMRITHI
Thursday, May 31, 2018
KOCHA Mfaransa, Zinedine Zidane amejiuzulu ukocha wa Real Madrid baada ya kuiongoza timu kutwaa mataji matatu ya kihistoria ya Ligi ya Mab...
JKU WALIVYOPAA KWENDA KENYA LEO SPORTPESA SUPER CUP
Thursday, May 31, 2018
Wachezaji wa JKU wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam wakati wa safari ya kwenda Kenya kwenye mich...
TSHISHIMBI, AJIB, KAMUSOKO WAENDA NA YANGA SC NAKURU
Thursday, May 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIUNGO Ibrahim Ajib, Thabani Kamusoko na Papy Kabamba Tshishimbi ni miongoni mwa wachezaji 20 wanaotaraji...
BOCCO, OKWI, MAVUGO NA WAGHANA WOTE HAWAMO SIMBA KIKOSI CHA SPORTPESA KENYA
Thursday, May 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VINARA wa mabao wa Simba SC, Nahodha John Raphael Bocco na Mganda Emmanuel Arnold Okwi wote hawamo kwenye...
SIMBA SC WAPAA KENYA KWENDA KUITAFUTA SAFARI YA GOODISON PARK
Thursday, May 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIKOSI cha Simba kimeondoka asubuhi ya leo kwa ndege ya KQ kwenda Kenya tayari kwa michauno ya SportPesa ...
HAWA WATAKUWA MABINGWA WA DUNIA MWAKA HUU URUSI?
Thursday, May 31, 2018
Lionel Messi na Sergio Aguero wote wameposti picha hizi wakiwa kwenye ndege kuelekea Fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi. Argentina wa...
SIMON MSUVA AZUNGUMZIA SOKA YA MOROCCO NA MAISHA YAKE JADIDA
Thursday, May 31, 2018
MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME KUFANYIKA SAMBAMBA NA KOMBE LA DUNIA MWEZI HUU DAR
Thursday, May 31, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MICHUANO ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama CECAFA Kagame itafanyika mjini Dar es Sa...
BENZEMA AKERWA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA UFARANSA
Thursday, May 31, 2018
MSHAMBULIAJI wa Real Madrid , Karim Benzema ameshangazwa na kitendo cha Rais wa Shirikisho la Soka Ufaransa (FFF), Noel Le Graet kumuonge...
MZIMBABWE WA SINGIDA UNITED TAFADZWA KUTINYU AMFUATA PLUIJM AZAM FC
Thursday, May 31, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIUNGO Mzimbabwe, Tafadzwa Kutinyu amejiunga na klabu ya Azam FC kutoka Singida United, akimfuata kocha ...
Wednesday, May 30, 2018
SALAH NJE WIKI TATU MISRI, LIVERPOOL, SASA KOMBE LA DUNIA...
Wednesday, May 30, 2018
MSHAMBULIAJI Mohamed Salah anaweza kucheza Fainali za Kombe la Dunia kuanzia hatua ya makundi, baada ya Chama cha Soka Misri (EFA) kusem...
DAVID LUIZ AKIFURAHIA MAISHA NDANI YA DUBAI
Wednesday, May 30, 2018
Beki Mbrazil wa Chelsea, David Luiz akifurahia mapumziko yake ya baada ya msimu kwa kurushwa juu na flyboarding leo mjini Dubai PICHA Z...
KIUNGO CHIPUKIZI YANGA, MAKA EDWARD AMVULIA MCHEZAJI MPYA JEZI NAMBA 8
Wednesday, May 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAKATI kikosi cha Yanga SC kinaondoka kesho mjini Dar es Salaam kwenda Kenya kwa ajili ya michuano ya Spo...
SAMATTA AENDA KUFANYA IBADA YA HIJA NDOGO MAKKA
Wednesday, May 30, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta anayechezea KRG Genk ya Ubelgiji ameenda kufa...
WACHEZAJI WAPYA WAZUIWA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP
Wednesday, May 30, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAANDAAJI wa michuano ya SportPesa Super Cup inayotarajiwa kuanza nchini Kenya Jumamosi wamezuia wachezaj...
MESSI APIGA HAT TRICK ARGENTINA YAIPIGA HAITI 4-0
Wednesday, May 30, 2018
Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake Argentina dakika za 17 kwa penalti, 58 na 66 katika ushindi wa 4-0 dh...
SINGIDA UNITED WAWAAMBIA MTIBWA SUGAR; “MNAKUJA KUTALII TU ARUSHA, MABINGWA NI SISI”
Wednesday, May 30, 2018
Na Sada Salmin, ARUSHA UONGOZI wa Singida United umetamba wao ndiyo mabingwa wapya wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu ...
Tuesday, May 29, 2018
WACHEZAJI WA AZAM FC WAPEWA MAPUMZIKO HADI JULAI 3
Tuesday, May 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Azam FC, wamepewa mapumziko ya siku 35 hadi Julai 3 mwaka huu watakaporipoti kuanza maandali...
MAMBO YA FEDHA, SALAMBA SASA NI MMILIKI BONGE LA 'CROWN JIPYAAA'
Tuesday, May 29, 2018
Mshambuliaji mpya wa Simba, Adam Salamba akiwa ameegemesa gari aina ya Crown ambayo ilikutwa inabadilishwa magurudumu mjini Dar es Salaam...
SIMBA NA YANGA ZAENDA KUTAFUTANA KENYA KWA MECHI YA NNE YA MSIMU
Tuesday, May 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAHASIMIU wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanaweza kukutana kwa mara ya nne msimu huu kwe...
MTIBWA SUGAR YAIENDEA SINGIDA UNITED NA KIKOSI KAMILI HADI TIMU YA VIJANA WOTE
Tuesday, May 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO KIKOSI cha Mtibwa Sugar kinaondoka kesho Alfajiri Manungu, Turiani mkoani Morogoro kwenda Arusha tayari kwa fa...
MISRI WAMSHITAKI RAMOS FIFA AWALIPE EURO BILIONI
Tuesday, May 29, 2018
SAKATA la mshambuliaji Mohamed Salah kuiacha fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mapema baada ya kuumia bega limehamia nchini kwao, Misri. M...
Subscribe to:
Posts (Atom)