Winga wa Yanga, Yussuf Mhilu akimuacha chini kiungo wa Singida United, Mudathir Yahya katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja Taifa mjini Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1
Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akiwatoka wachezaji wa Singida United, Mudathir Yahya (kulia) na Nizar Khalfan (kushoto)
Mshambuliaji Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa (kulia) akimtoka beki wa Singida, Miraj Adam
Kiungo wa Singida, Deus Kaseke akiondoka na mpira dhidi ya kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi
Kiungo wa Singida United, Nizar Khalfan akimtoka beki wa Yanga, Kevin Yondan
Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya (kushoto) akijaribu kuuzuia mpira uliopigwa na Miraj Adam wa Singida
Beki wa Yanga, Hassan Ramadhani Kessy akipasua katikati ya Shafiq Batambuze (kushoto) na Mudathir Yahya (kulia) wa Singida United
Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akimtoka Kennedy Wilson wa Singida United
Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Singida kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Does it work when a manager returns to his old club?
-
As David Moyes returns to Everton, BBC Sport looks at whether managers have
enjoyed success in their second spells at clubs.
45 minutes ago
0 comments:
Post a Comment