Kiungo wa Yanga, Yussuf Mhilu akimtoka beki wa Wolaita Ditcha ya Ethiopia katika mchezo wa kwanza wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
Kipa wa Wolaita Ditcha, Wond Wosen Geremen (kuli) akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Yanga
Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akiwatoka wachezaji wa Wolaita Ditcha
Mshambuliaji Mtogo wa Wolaita Ditcha, Arafat Djako akimsukuma beki wa Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja'
Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamusoko akimtoka mchezajin wa Wolaita Ditcha
Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akipasua katikati ya wachezaji wa Wolaita Ditcha
Kiungo wa Yanga, Emmanuel Martin akipiga shuti mbele ya mchezaji wa Wolaita Ditcha
Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali (kulia) akimpita mchezaji wa Wolaita Ditcha
Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana Taifa
Kikosi cha Wolaita Ditcha kabla ya mchezo huo jana Uwanja wa Taifa
0 comments:
Post a Comment