// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 'WENYE TIMU', SUAREZ NA MESSI WAKIPANGA MBINU ZA KUIUA ROMA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 'WENYE TIMU', SUAREZ NA MESSI WAKIPANGA MBINU ZA KUIUA ROMA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, April 10, 2018

    'WENYE TIMU', SUAREZ NA MESSI WAKIPANGA MBINU ZA KUIUA ROMA LEO

    Mshambuliaji Luis Suarez (kushoto) akimuambia kitu mwenzake, Lionel Messi aliyeipa mgongo kamera wakati wa mazoezi ya Barcelona ikijiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Roma leo Uwanja wa Olimpico mjini Roma. Barca ilishinda 4-1 kwenye mechi ya kwanza wiki iliyopita Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'WENYE TIMU', SUAREZ NA MESSI WAKIPANGA MBINU ZA KUIUA ROMA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top