Mshambuliaji Mmisri Mohamed Salah akiinua mikono juu kuiomba msamaha klabu yake ya zamani baada ya kuifunga mabao mawili dakika Salah 36 na 45 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Roma kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Msenegal Sadio Mane dakika ya 56 na Mbrazil, Roberto Firmino (kushoto) mawili pia dakika za 62 na 69 wakati ya Roma yamefungwa na Edin Dzeko dakika ya 81 na Diego Perotti kwa penalti dakika ya 84 kufuatia James Milner kuushika mpira kwenye boksi. Roma itahitaji ushindi wa 3-0 kwenye mchezo wa marudiano Mei 2, Uwanja wa Olimpico ili kusonga mbele PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arne Slot sends message over Virgil van Dijk's Liverpool future - after the
club captain announced he has 'no idea' where he will play next season
-
LEWIS STEELE: The Dutch defender was pushed on his Liverpool deal, which
expires at the end of this season, and insisted his short-term future was
still no...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment