// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AONYESHA HAKUBAHATISHA, ARUDIA TENA 'TIK TAK' YA AJABU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AONYESHA HAKUBAHATISHA, ARUDIA TENA 'TIK TAK' YA AJABU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, April 07, 2018

    RONALDO AONYESHA HAKUBAHATISHA, ARUDIA TENA 'TIK TAK' YA AJABU

    Cristiano Ronaldo akipiga tik tak mazoezini leo kujiandaa na mchezo wa La Liga dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid kesho Uwanja wa Santiago Bernabeu. Ronaldo alifunga kwa tik tak kama hiyo katika mechi dhidi ya Juventus katikati ya wiki Ligi ya Mabingwa Ulaya mjini Turin PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AONYESHA HAKUBAHATISHA, ARUDIA TENA 'TIK TAK' YA AJABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top