Cristiano Ronaldo akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid kwa penalti dakika ya saba ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida ikifungwa 3-1 na Juventus ya Italia katika mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi Mabingwa leo uliofanyika Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Mabao ya Juve iliyompoteza kipa wake, Gianluigi Buffon aliyetolewa kwa kladi nyekundu dakika ya 90+3 yalifungwa na Mario Mandzukic mawili dakika za pili na 37 na Blaise Matuidi dakika ya 60 na sasa Real Madrid inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-3 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita mjini Turin PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lakers vs. Spurs, Clippers vs. Hornets Games Postponed By NBA Due to LA
Wildfires
-
The NBA announced that matchups between the Los Angeles Lakers and San
Antonio Spurs as well as the Los Angeles Clippers and Charlotte Hornets on
Saturday…
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment