Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford ameonyesha jezi hii Real Madrid aliyopewa zawadi na Cristiano Ronaldo ambaye ameisaini na kuweka ujumbe; "Kwa Marcus, endelea kufanya kazi nzuri". Ronaldo ameendelea kuonyesha mapenzi yake kwa chipukizi hiyo, hii ikiwa zawadi ya pili anampa baada ya kiatu cha Nike Air Max 97 CR7 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Renée reflects on first leg defeat to Lyon
-
Renée Slegers reacts to our 2-1 defeat to Lyon and looks ahead to next
week's second leg in France
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment