• HABARI MPYA

        Sunday, April 29, 2018

        POLENI NA BUNDUKI YENU FEKI, HIYO NDIYO SIMBAA...

        Mashabiki wa Yanga SC wakiwa wanyonge wakati dakika zinaelekea mwisho za mchezo dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC walioshinda 1-0 katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo
        Huyu jamaa maarufu kama Mack Yanga akiwa hoi wakati dakika zikiyoyoma
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: POLENI NA BUNDUKI YENU FEKI, HIYO NDIYO SIMBAA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry