// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PAYET AFUNGA BAO LA BAO MARSEILLE YAICHAPA RB LEIPZIG 5-2 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PAYET AFUNGA BAO LA BAO MARSEILLE YAICHAPA RB LEIPZIG 5-2 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, April 13, 2018

    PAYET AFUNGA BAO LA BAO MARSEILLE YAICHAPA RB LEIPZIG 5-2

    Dimitri Payet akishangilia baada ya kuifungia bao zuri Olympique Marseille dakika ya 60 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya RB Leipzig ya Ujerumani usiku wa Alhamisi kwenye mchezo wa marudiano wa UEFA Europa League Uwanja wa Velodrome mjini Marseille, Ufaransa na kwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 5-3 baada ya kufungwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PAYET AFUNGA BAO LA BAO MARSEILLE YAICHAPA RB LEIPZIG 5-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top