// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NUSU FAINALI ZA AZAM SPORTS FEDERATION CUP KUCHEZWA APRILI 20 NA 21 SHINYANGA NA SINGIDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NUSU FAINALI ZA AZAM SPORTS FEDERATION CUP KUCHEZWA APRILI 20 NA 21 SHINYANGA NA SINGIDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, April 10, 2018

    NUSU FAINALI ZA AZAM SPORTS FEDERATION CUP KUCHEZWA APRILI 20 NA 21 SHINYANGA NA SINGIDA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
    MECHI za Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) inatarajiwa kuchezwa Aprili 20 na 21, mwaka huu.
    Nusu Fainali ya Kwanza itachezwa Ijumaa ya Aprili 20, 2018 ikiwakutanisha Stand United ya Shinyanga watakaokuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga kuanzia Saa 10:00 jioni.
    Nusu Fainali ya pili baina ya Singida United ya Singida watakaowakaribisha JKT Tanzania ya Dar es Salaam itachezwa Uwanja wa Namfua Jumamosi ya Aprili 21 kiuanzia Saa 10:00 jioni pia na Fainali itachezwa Mei 31.
    Stand United watakuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga Aprili 20 katika Nusu Fainali ya kwanza ya ASFC
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NUSU FAINALI ZA AZAM SPORTS FEDERATION CUP KUCHEZWA APRILI 20 NA 21 SHINYANGA NA SINGIDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top