Mshambuliaji Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 46 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Southampton kwenye Nusu Fainali ya Kombe la FA jana Uwanja wa Wembley, London. Bao la pili lilifungwa na Alvaro Morata dakika ya 82 na sasa The Blues itakutana na Manchester United Mei 19 katika fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Erik Spoelstra: 'We Want' Jimmy Butler to Stay with Heat amid NBA Trade
Rumors
-
While there have been rumors that the Miami Heat want to trade star forward
Jimmy Butler, head coach Erik Spoelstra made his stance clear that he wants
to…
31 minutes ago
0 comments:
Post a Comment