Victor Moses akipongezwa na wenzake Alvaro Morata, Cesar Azpilicueta na Pedro baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 69 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Turf Moor, Burnley. Burnley walianza kujifunga kupitia kwa beki wao, Kevin Long dakika ya 20 kabla ya Ashley Barnes kuisawazishia Burnley dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Dorgu getting used to the tempo
-
Our new wing-back pinpoints what he needs to improve on, as he adapts to
the Premier League.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment