// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN UNITED YATOKA NYUMA KWA 2-0 NA KUIPIGA 3-2 MAN CITY ETIHAD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN UNITED YATOKA NYUMA KWA 2-0 NA KUIPIGA 3-2 MAN CITY ETIHAD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, April 07, 2018

    MAN UNITED YATOKA NYUMA KWA 2-0 NA KUIPIGA 3-2 MAN CITY ETIHAD

    Chris Smalling akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 69 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Man City ilitangulia kwa mabao ya Vincent Kompany dakika ya 25 na Ilkay Gundogan dakika ya 30, kabla ya Paul Pogba kuifungia mabao mawili Man United ya kusawazisha dakika za 53 na 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YATOKA NYUMA KWA 2-0 NA KUIPIGA 3-2 MAN CITY ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top