Kiungo Mfaransa, Paul Pobga (kushoto) akimpongeza mshambuliaji Mbelgiji, Romelu Lukaku baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 70 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, AFC Bournemouth Uwanja wa Vitality, Bournemouth, Dorset, Bao la kwanza la United lilifungwa na Chris Smalling dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Listen: The Jody Gormley interview
-
The GAA Social Podcast, with the late Jody Gormley.
40 minutes ago
0 comments:
Post a Comment