MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Marcus Rashford ameonyesha zawadi ya kiatu chekundu cha Nike Air Max 97 CR7 alichopewa na nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo.
Nyota wa zamani wa United, Ronaldo inawezekana hakuwa karibu na Rashford wakati wake anacheza Old Trafford kwani wakati huo Marcus alikuwa ana umri wa miaka 11 wakati Ronaldo alipokuwa anahamia Madrid – lakini wawili hao kwa sasa ni rafiki.
Kwa ushirikiano na Nike, Mwanasoka huyo bora wa dunia, Ronaldo ametoa kiatu hicho kikali kinachouzwa kwa Pauni 145, ambacho kinaweza kuwavutia mashabiki wengi wa Man United kununua.
Kiatu cha Nike Air Max 97 CR7 ambacho Marcus Rashford amepewa na Cristiano Ronaldo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nyota wa zamani wa United, Ronaldo inawezekana hakuwa karibu na Rashford wakati wake anacheza Old Trafford kwani wakati huo Marcus alikuwa ana umri wa miaka 11 wakati Ronaldo alipokuwa anahamia Madrid – lakini wawili hao kwa sasa ni rafiki.
Kwa ushirikiano na Nike, Mwanasoka huyo bora wa dunia, Ronaldo ametoa kiatu hicho kikali kinachouzwa kwa Pauni 145, ambacho kinaweza kuwavutia mashabiki wengi wa Man United kununua.
0 comments:
Post a Comment