Patrick Van Aanholt akishangilia na mchezaji mwenzake, Wilfried Zaha baada ya kuifungia bao la nne Crystal Palace katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Selhurst Park. Mabao mengine ya Palace yamefungwa na Zaha dakika ya 17, James McArthur dakika ya 38, Ruben Loftus-Cheek dakika ya 81, Van Aanholt dakika ya 84 na Christian Benteke dakika ya 90 kwa penalti huku Leicester City ikimaliza pungufu baada ya Marc Albrighton kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NDLEA raids Lagos hotel, recovers ₦1.042bn in illicit drugs
-
From Godwin Tsa, Abuja Operatives of the National Drug Law Enforcement
Agency (NDLEA) raided an 80-room hotel in Victoria Island, Lagos, used as a
front ...
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment