// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHICHARITO AIPOKONYA USHINDI CHELSEA, SARE 1-1 NA WEST HAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHICHARITO AIPOKONYA USHINDI CHELSEA, SARE 1-1 NA WEST HAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, April 08, 2018

    CHICHARITO AIPOKONYA USHINDI CHELSEA, SARE 1-1 NA WEST HAM

    Mshambuliaji Javier Hernandez 'Chicharito' akiwa amebebwa na Marko Arnautovic wakati wakishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao la kusawazisha dakika ya 73 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Chelsea walitangulia kwa bao la Cesar Azpilicueta dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHICHARITO AIPOKONYA USHINDI CHELSEA, SARE 1-1 NA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top